
Wanawake wenye makalio makubwa na mapaja makubwa kama vile Beyonce na Jeniffer Lopez wana uwezekano mdogo sana wa kupata magonjwa ya moyo na kisukari kulinganisha na wanawake wenye makalio madogo, matokeo ya utafiti wa wanasayansi nchini Uingereza umeonyesha. | |||
Wanasayansi wa nchini Uingereza waliofanya utafiti wao katika chuo kikuu cha Oxford University wamegundua kuwa makalio makubwa yana faida kubwa zaidi kiafya kuliko matumbo makubwa (vitambi). |