Sunday, February 28, 2010

LUV SMS




1. Nashukuru kwa miguno uliyonipatia na kiuno kunikatia, utamu niliousikia
nilitamani kulia hatima ilipowadia , nakupenda dia usije utamu wangu mwingine
kumpatia! Luv u

2. Wikiendi ndiyo imeisha, majukumu hatunabudi kuyatimiza dear, kuwa nawe muda mrefu
nimefurahia nakujihisi malkia katika hii dunia kuwa nawe najivunia. Luv u

3. Giza ndiyo laingia natamani ungekuwepo nipate kukumbatia, hakika nimechoka mto
kukumbatia nakukesha ndotoni nikikufikiria, nakumiss dear fanya hima nyumbani
kujongea wazazi wapate kukutambua! Nakupenda dear

4. Hakika najutia kwa mambo unayonifanyia, nilijitoa kwa moyo wote na mwili wangu
kukuachia chochote utakacho kunifanyia ruhusa nilikupatia nikiamini utatulia
kumbe kunichezea ilikuwa yako nia, umetimiza sasa waniringia. Asante na Mungu
atanisaidia , kilio changu tena hutosikia . Stay blessed

5. Hakika raha wajua kunipatia, fimbo wajua kuitumia sharti mtoto wakike nabaki
nagugumia kwa raha unayonipatia ambayo wengi wanaililia , plz utamu wangu
nitunzie!

6. Uko wapi wangu malkia, mwenzio hamu nasikia nawe ndiye ujuwaye hamu kunitoa,
tafadhali dear upatapo msg hii tambua nyumbani nakusubiria! Luv u

7. Nisamehe la azizi ukweli mbona uko wazi, yule si wangu mpenzi ila ni rafiki yangu
kipenzi, yangu mapenzi ni wewe pekee nayekupa mpenzi, katika hii dunia ni wewe
pekee penzi nayekupatia!

8. Jamani msg huwezi kunitumia, hata bipu nipate jua rohoni nimekuingia, ila ukata
umekuingia. U hali gani dia?

9. Hakika nakuhurumia kwa msiba uliokukumba, lakini kumbuka mwenzetu ametangulia
nasi tutafuatia, hakuna haja ya kulia bali ahitaji kuombewa. Mungu akutie nguvu!

10. Mpenzi mbona mapenzi yetu kama yanapoteza dira, kila siku huishi hila, kitu
kidogo wafura hasira. Wanichanganya dia!

11. Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni, naishia kukuota ndotoni,
hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda

12. Mahaba unayonipa natamani niwe nawe mpaka kufa, kila siku zinavyozidi kupita
najuta kwanini nilichelewa penzi kukupa, nakupenda na nitakupenda hadi kufa!

13. Asubuhi imefika ni muda wa kujiandaa na pilika, lakini kazini ukifika isisahau
kutumia japo nusu dakika rafiki zako salamu kuwapa, swawabu utapata! Asubuhi
njema.

14. Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda kakumwaga machozi kwa kukuacha ungali
walihitaji penzi lake, nimekuja mwokozi kukufuta machozi kwakukupa la dhati
penzi. Nakupenda mpenzi amini sitalimwaga lako chozi, na daima nitakuenzi.

15. Hivi ni lini penzi utanipa, nimechoka na ahadi unazonipa kila kunapokucha,
tambua kwako nimefika na siku utakayonipa zawadi nzuri nitakupa na hutanisahau
hadi kufa.

1 comment:

  1. Una mambo mazuri sana bwana mkubwa, mbona watu hawa comment jamani? Napenda kusoma mambo yako.

    ReplyDelete